Mkutano Mkuu wa 38 wa Wanahisa TBL Posted on: October 13, 2011 - jomushi Mwanahisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Eddy Mushi akichangia mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.