
Msanii kutoka Kundi la Maembe Bagamoyo Spirit, Vitalis Maembe (kushoto aliyeinua mikono juu) akicheza na baadi ya washiriki wa Tamasha la Kumi la Jinsia alipokuwa akiburudisha washiriki kwa nyimbo.

Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Kumi la Jinsia wakicheza na kundi la Sanaa la Maembe Bagamoyo Spirit
