
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akitia saini katika kitabu cha wageni maara baada ya kuwasili katika hosptali ya Rufaa ya Mawenzi mkaoni Kilimanjaro. |
![]() |
| Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Hajati, Dk. Mtumwa Mwako akifanya utamburisho wa watumishi wa hospitali hiyo katika ukumbi mdogo wa mikutano hospitalini hapo. |
![]() |
| Baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ya mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza jambo katika kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mawenzi. |
![]() |
| Mganga mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mawenzi Dk. Bingilaki Rwezaula (kushoto) akiwa na watumsihi wengine wa hospitali hiyo. |
![]() |
| Katibu wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Boniface Lyimo akisoma taarifa ya hospitali hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala (hayupo pichani). |
![]() |
| Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ,mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea hosptali hiyo. |
![]() |
| Badhi ya watumishi katika hospitali hiyo. |
![]() |
| RC Makala akizunguza na watumishi. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na mmoja wa wazee waliofikisha wagonjwa wao katika hospitali ya Mawenzi. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na mmoja wa wauguzi katika hospitali hiyo, kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hajati, Dk. Mtumwa Mwako. |
![]() |
| RC Makala akiwajulia hali wagonjwa waliofika katika hospitali hiyo kujipatia huduma ya matibabu. |
![]() |
| Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Dk. Bingilaki Rwezaula akimuelekeza maeneo mbalimbali mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala alipotembelea hospitalini hapo. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na mmoja wa wazee waliofika katika hospitali hiyo kupata matibabu. |
![]() |
| RC Makala akitizama hali ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi. |
![]() |
| RC Makala akitembelea kitengo kinachoshughulika na bima ya afya. |
![]() |
| RC Makala akizungumza jambo na Mkuu wa idara ya Bima, Dk. Saganda katika hospitali hiyo. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo. |
![]() |
| Wodi ya kina mama. |
![]() |
| RC Makala akisalimiana na mmoja wa wauguzi wa zamu katika hospitali hiyo. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina baba. |
![]() |
| RC Makala akizungumza na madaktari wa zamu katika hospitali ya Mawenzi. |
![]() |
| RC Makala akitoka katika wodi ya wagonjwa wa akili hosptalini hapo. |
![]() |
| RC Makala akiwa katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mawenzi. |
![]() |
| RC Makala akiondoka katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo kujionea namna huduma zinavyotolewa. Picha na Dixon Busagaga. |



































