Mkulima wa Tanzania anavyo umia na utafutaji masoko Posted on: August 23, 2011 - jomushi Baadhi ya wakulima wa Kijiji cha Mahongole, mkoa mpya wa Njombe wakihaha kutafuta masoko ya bidhaa za nyanya ambazo hulima katika kijiji hicho kujipatia mahitaji yao. Picha hii ilinaswa na mpigapicha wetu juzi mkoani hapo.