
| Makamu mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE), Taaluma, utafiti na Ushauri Dk.Mbise akizungumza jambo katika Mahafali ya 49 ya Chuo hicho Kampasi ya Mbeya. |
| Afisa Uhusiano wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Leonidas Tibanga ambaye alikuwa mshehereshaji katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho Kampasi ya Mbeya akiendelea na shughuli zake. |
| Wahitimu wakivaa kofia zao baada ya kutunukiwa vyeti na mgeni rasmi katika Mahafali ya 49 ya CBE |
| Baadhi ya Wahitimu wakionesha nyuso za furaha baada ya kutunukiwa vyeti |
| Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika masomo yake, Eliesia Mwalwibaakipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi. |
| Baadhi ya Wahadhiri wakifuatilia kwa makini shughuli za mahafali |
| Kikundi cha burudani cha Kihumbe kikionesha makeke yake kwa wahitimu wazazi na wageni waalikwa katika mahafali |
| Picha ya Pamoja kati ya Wahadhiri na mgeni rasmi |
| Picha ya pamoja kati ya Wanafunzi waliofanya vizuri na meza kuu |
| Picha ya pamoja kati ya wahitimu na meza kuu. |
