Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (katikati) akijaza fomu jana ya kujiunga na Mfumo wa Kuwekeza Amana wa Mfuko wa Pensheni (PPF) katika kilele cha maonesho ya wakulima Nane Nane mjini Dodoma wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha.Zitto akifanya mazungumzo na baadhi ya wafanayakazi wa PPF na kupewa ufafanuzi juu ya shughuli kadha wa kadha zinazofanywa na taasisi hiyo.
Wonderful website. Plenty of useful info here. I¡¦m sending it to several pals and also bookmarking it. And obviously, thank you on your effort!