
















Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa hii kuonyesha utamaduni wao kupitia bidhaa mbalimbali, ikiwemo miziki.
Picha zote na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani
