
Ujumbe mathubutu kwenye vitenge maalum walivyotengenezwa kwa ajili ya sherehe hizi za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama zilivyonaswa leo na Mpiga picha wetu maalum.

Uwanja wa taifa

Watu wakiwa wanaelekea Uwanja wa Taifa kujumuika kwenye sherehe hizo.

Msongamano mwengine
Video ya wananchi wakielekea Uwanja wa Taifa kujumuika na wananchi wenzao

Lango kuu, Uwanja wa Taifa leo
