Mgeni rasmi Sarah Shibelea akifungua kongamano

Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam

Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam

Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam.
Kongamano la Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam inayolenga kupata maoni ya wadau juu ya utekelezaji wa mafunzo ya ufundi stadi lililoendeshwa na ofisi ya VETA Kanda ya Dar es Salaam.