Pinda Azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Posted on: February 1, 2014 - jomushi Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)