Show ya Wema Sepetu Kuanza Kuonekana EATV Posted on: October 15, 2013 - admin Staa Wema Sepetu Show ya Staa Wema Sepetu (Aliyewahi kuwa miss Tanzania miaka ya nyuma) itaanza kurushwa hewani na television ya EATV kuanzia tarehe 15-10-2013 saa 9:30PM