Mtoto Anapochezea Katiba ya Nchi Mvomero…! Posted on: August 22, 2013 - jomushi Mtoto Abuu Juma (2) wa Kijiji cha Manyinga Kata ya Diongoya Mvomero akichezea katiba ya Tanzania hivi karibuni.