
Majeneza ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur yakiagwa katika viwanja vya Jeshi la Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi.

Majeneza ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur yakiagwa katika viwanja vya Jeshi la Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi.

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwenye moja ya jeneza la wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur yakiagwa katika viwanja vya Jeshi la Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi.





Viongozi mbalimbali wa Serikali wakitoa heshima zao za mwisho kwa wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur yakiagwa katika viwanja vya Jeshi la Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi.



Baadhi ya viongozi mbalimbali wa juu wa JWTZ na viongozi maarufu wakielekea kutoa heshima zao za mwisho kwa wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur yakiagwa katika viwanja vya Jeshi la Ulinzi, Upanga jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi.


Baadhi ya askari wa JWTZ wakishusha moja ya jeneza lenye mwili wa mwanajeshi wenzao aliyeuwawa Darfur na kuibeba kuipeleka eneo maalum kwa ajili ya kuuaga kabla ya kusafirishwa.
