RAIS KIKWETE AMWANDALIA RAIS BARACK OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU Posted on: July 2, 2013 - Rungwe Jr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku.