Mama Mzazi wa Suzana Mungy B. Agnesi Julian Lukindo (75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian LukindoBibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo (PICHA ZOTE NA CHRIS MFINANGA)