
M-Net Africa Managing Director Biola Alabi (wa pili kulia) na Group Brand Assets Manager Airtel Africa Andrew Masitsa ambao ndio washamini wakuu wa shindano la Big Brother The Chase kwa mwaka huu wakiwa kwenye pozi na Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya Churchill (kushoto) na Msanii wa Hip Hop kutoka Kenya Stella Mwangi a.k.a STL (wa pili kushoto)
Mwandishi wa Daily Monitor Uganda Henry Ssali na Faith wa Nairobi Star wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya waandishi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa mkutano huo.
Stella Mwangi a.k.a STL na wasanii wenzake wakifuatilia jambo kwenye mkutano huo.
Operation Manager wa Mo Blog Zainul Mzige akipozi na Stella Mwangi STL.
Big Brother Crew wakati wa mkutano na waandishi wa habari mapema leo asubuhi.
Final Touches……M-Net Africa Managing Director Biola Alabi akipitia ratiba ya uzinduzi wa Big Brother The Chase. Kulia ni Senior PR Manager wa Multichoice Africa Sandhya Singh.
—