Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akipokea kitabu cha muongozo wa kilimo bora wazao la embe kutoka kwa wanachama wa kilimo cha Embe Tanzania (AMAGRO) kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa (magro), Burton Nsape shughuli hiyo ya kukukabidhi imefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu magogoni Dar es salaam (Picha na Chris Mfinanga)Wanachama wa chama cha wakulima zao la Embe wakiwa ofisini kwa Waziri Mkuu kwa ajili ya kumkabidhi kitabu cha muongozo wa klimo cha Embe (Picha na Chris Mfinanga)
Naomba mnieleze wapi nitakapo kipata kitabu cha kilimo cha embe.Tel.0717 667347
Samahani kuchelewa kukujibu ombi lako, tulikuwa tukijitahidi kukupatia mawasiliano na wahusika; kwa msaada zaidi naomba tembelea http://www.amagro.org/ au piga simu; Mobile: +255 752 59 80 99 au Mail; Email : info@amagro.org