

Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[Picha na Ramadhan Othman, IKulu]
Dk. Shein Akutana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu
