Wanafunzi wakiwa katika majadiliano kwenye vikundi. Wa pili kutoka kulia ni Meneja wa Habari TGNP, Lilian Liundi akiwasikiliza
Mwanafunzi Grace David kutoka Shule ya Sekondari Loyola alitoa ujumbe wa Siku ya Wapendanao (Valentine Day) ambao unasema “Mapenzi ya kweli hayawezi kuoneshwa kwa mtu kwa siku moja pekee, bali hali hiyo inapaswa kuwepo siku zote tofauti na mtazamo wa vijana wengi wanavyoichukulia kwa sasa “.Ni wakati wa kwaito la kisasa na wanafunzi wa Sekondari ya Loyola katika Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia Dar es SalaamPicha ya pamoja ya baadhi ya Wanafunzi katika Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia Dar es Salaam
Mmoja wa watoto walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia akitoa maoni yaoWatoto katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaWanafunzi wa shule ya Sekondari Sinza Tower wakiimba utenzi katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaWanafunzi wa shule ya Sekondari Sinza Tower wakiigiza katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaMwanafunzi (mbele) akiwasilisha maoni ya kundi lao mara baada ya majadiliano kwenye maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaLilian K (kulia) kutoka Idara ya Habari ya Mtandao wa Jinsia Tanzaniua (TGNP), akitoa ufafanuzi maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaDeo Temba (aliyeshika kipaza sauti) kutoka Idara ya Habari ya Mtandao wa Jinsia Tanzaniua (TGNP), akitoa matangazo katika maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa KijinsiaMeza kuu katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mrengo wa Kijinsia