Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu la Igunga

Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akijiunga na bendi ya Msondo Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga

Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli akijiunga na bendi ya Msondo Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga