Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka wa Tanzania kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ameyasema hayo akiwa anawahutubia wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismas aliyo anda katika kijiji cha Kibaoni picha na chris mfinanga