Maindi ya Kuchoma, Chalinze…! Posted on: November 27, 2012 - jomushi Hapa nikiwa njiani eneo la Chalinze kuelekea Korogwe milimani kwa kazi za kijamii zaidi…kaa mkao wa kujua mengi nitakayojaliwa kutoka kwa wanakijiji huko kwa ndugu zangu wasambaa.