
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufungua mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Bima, ulioanza Novemba 6, 2012 ukitarajia kumalizika Novemba 8, mwaka huu. Picha na OMR