
Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona akimkaribisha rasmi Waziri wa Fedha pamoja na ujumbe kutoka Tanzania kwa chakula cha usiku. kutoka kulia ni William Mgimwa Waziri wa Fedha akifuatiwa na Waziri wa Fedha Zanzibar, Omary Yusuph Mzee akifuatiwa na Selivicius Likwilile Naibu Katibu Mkuu Wizara na Fedha na wengineo ni viongozi waliohudhuria hafla hiyo Jijini Tokyo – Japan.

Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona akimwelezea Waziri wafedha, William Mgimwa mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika katika Balozi zetu.