Bondia Francis Miyeyusho akimshambulia bondia kutoka Malawi John Masamba wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Miyayusho alishinda kwa K.O Raundi ya 5.