Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Amour Zakaria aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi nchiniRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa RaisRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais