Rais Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara Posted on: May 30, 2012 - jomushi Rais Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha jana, akiwa ni mmoja wa wageni mashuhuri kuhudhuria mkutano wa afDB. Picha na IKULU.