FFU askari Magereza wataka kuzichapa kavu kavu

FFU askari Magereza wataka kuzichapa kavu kavu
Askari wa Jeshi la Magereza ambaye alikuwa hajavaa sare na jina lake halikuweza kujulikana akitaka kumpiga askari mwenye sare za Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kumshinikiza ampe baskeli yake aliyoikamata baada ya mtu huyo kuegesha sehemu isiyoruhusiwa eneo la benki ya NMB Tabora. Picha na Hastin-Liumba

Related Post