Tunadeki darasa, Shule ya Msingi Naurei! Posted on: March 16, 2012 - jomushi Wanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Naurei, Wilaya ya Arumeru wakifanya usafi baada ya masomo hivi karibuni kama walivyonaswa na mpigapicha wa mtandao huu Arusha.