Related Post

2 thoughts on “Maafa ya mafuriko yaliosababishwa na mvua Dar

  1. poleni sana ndugu zangu wa dar lakini hapo ni kipimo cha kujua kuwa viongozi wetu wanatupenda wakati wa kuwachagua na baada ya wao kuwa viongoz basi jukumu la maisha yetu sio lao tena .lakini uchaguzi ujao tayari ni kipimo kwao kujua nani apaswae kumjali mwenzie ikiwa ndiye kiongozi.
    mungu atawasaidia na kila kitu kitaendelea vizuri wale waliosombewa vitu vyao na mvua basi mungu atawarudishia kadri mtakavyoomba.
    Baba yetu uliye mbinguni……….. ……
    Salam maria umejaa neema……….
    Atukuzwe baba………………….
    AMINA

Comments are closed.