
![]() |
| Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, Mhandisi Kato Kabaka akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo.
|
![]() |
| Ofisa misitu Mkuu Kitengo cha Nishati Mbadala, Paul Kiwele akiongea wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo.
|
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha hiyo.
|
![]() |
| Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. |
![]() |
| Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. Picha na Robert Okanda Blogspot. |










