RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete, Desemba 9, 2014 ametunuku Nishani ya Ushupavu kwa mfanyabiashara ya kukaanga…
Continue Reading....Tag: Rais Kikwete
Rais Kikwete Amteuwa CAG Mpya Kumrithi Utouh…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kushika…
Continue Reading....Mapokezi ya Rais Kikwete Alipowasili Kutoka Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani…
Continue Reading....Baraza la Mawaziri Lilinikataza Kutaja Ugonjwa – Rais Kikwete
Na Mwandishi Wetu, RAIS Jakaya Kikwete amewasili salama nchini Tanzania leo akitokea nchini Marekani alipokuwa kwa matibabu ambapo alifanyiwa upasuaji kutibiwa saratani ya tezi dume…
Continue Reading....Rais Kikwete Kurejea Dar Kesho
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kurejea nchini Tanzania kesho majira ya mchana, Novemba 29, 2014 kutoka kwenye matibabu nchini…
Continue Reading....