Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Lowassa
  • Page 3

Tag: Lowassa

Safari Kusaka Wadhamini Urais CCM, Lowassa ni Nooma…!

Posted on: June 13, 2015June 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Urais CCM
Safari Kusaka Wadhamini Urais CCM, Lowassa ni Nooma…!

Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye…

Continue Reading....

Watangaza Nia CCM Waendelea Kusaka Wadhamini; Lowassa, Wasira na Membe…!

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Membe, Wasira
Watangaza Nia CCM Waendelea Kusaka Wadhamini; Lowassa, Wasira na Membe…!

  Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye ulemavu…

Continue Reading....

Edward Lowassa Awasilini Zanzibar Kusaka Wadhamini…!

Posted on: June 6, 2015June 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Wadhamini CCM, Zanzibar
Edward Lowassa Awasilini Zanzibar Kusaka Wadhamini…!

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa…

Continue Reading....

Lowassa Azinduwa Jubilee Miaka 50 Seminari ya Kaloli Lwahanga

Posted on: June 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Seminari Kaloli Lwahanga
Lowassa Azinduwa Jubilee Miaka 50 Seminari ya Kaloli Lwahanga

Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe…

Continue Reading....

Lowassa Ataka Wanaomchukia Ndani ya CCM Wahame Chama

Posted on: May 26, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, Lowassa
Lowassa Ataka Wanaomchukia Ndani ya CCM Wahame Chama

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa hana mpango wa kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na iwapo kuna mtu anamchukia ndani ya chama hicho, ni vyema…

Continue Reading....

Masheikh Bagamoyo Wamchangi Lowassa Kugombea Urais 2015

Posted on: March 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Masheikh, Urais 2015
Masheikh Bagamoyo Wamchangi Lowassa Kugombea Urais 2015

MASHEIKH wapatao 83 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania urais 2015. Mashekhe hao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari