Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Ajali ya Moto

Tag: Ajali ya Moto

Serikali Yaunda Tume Kutafuta ‘Mchawi’ wa Moto Kiwanja cha Ndege JNIA

Posted on: January 13, 2017 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Serikali Yaunda Tume Kutafuta ‘Mchawi’ wa Moto Kiwanja cha Ndege JNIA

  SERIKALI imesema imeunda Tume ya uchunguzi ya watu 12 ili kuweza kuchunguza na kubaini chanzo cha ajali ya moto iliyotokea jana saa Tano usiku…

Continue Reading....

Moto Wateketeza Nyumba Kinyerezi, Mmiliki Azimia…!

Posted on: September 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Moto Wateketeza Nyumba Kinyerezi, Mmiliki Azimia…!

      Moto uliozuka katika nyumba moja iliyopo eneo la Kinyerezi Kanga jijini Dar es Salaam umeteketeza nyumba. Baadhi ya mashuhuda walisema moto huo…

Continue Reading....

Godauni la Magurudumu Lawaka Moto Sinza Lego, Dar

Posted on: July 31, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Godauni la Magurudumu Lawaka Moto Sinza Lego, Dar

Moto ukiwaka jioni hii kwenye godauni moja lililopo eneo la Sinza Lego, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa kijana ambaye alifika kushuhudia tukio hilo akijaribu kupanda…

Continue Reading....

Hivi Ndivyo Shule ya Lindi Sekondari Ilivyoteketea kwa Moto

Posted on: July 11, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Hivi Ndivyo Shule ya Lindi Sekondari Ilivyoteketea kwa Moto

                    SHULE ya Sekondari Lindi iliyopo Mkoa wa Lindi imeteketea kwa moto. Taarifa za awali kutoka…

Continue Reading....

Yadi ya Mabasi ya UDA Yanusurika Kuteketea kwa Moto

Posted on: May 24, 2016May 24, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
Yadi ya Mabasi ya UDA Yanusurika Kuteketea kwa Moto

YADI ya mabasi ya UDA iliyopo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam imenusurika kuteketea kwa moto baada nguzo inayosafirisha umeme mkubwa barabarani…

Continue Reading....

RC Makonda, Mrisho Mpoto Waisaidia Shule Iliyoungua Dar…!

Posted on: May 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Moto
RC Makonda, Mrisho Mpoto Waisaidia Shule Iliyoungua Dar…!

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na Msanii maarufu wa kughani mashairi katika nyimbo, Mrisho Mpoto wameahidi kuisaidia magodoro 110 Shule…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari