Super ‘D’ Agawa Ujuzi wa Mchezo wa Masumbwi kwa Vijana

Kocha wa Mchezo wa Masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi yakupangua ngumi za mpinzani wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa Gym Khana Dar es Salaam jana.
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi nchini, Rajabu Mhamila ‘Super D’ akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ jinsi yakupangua ngumi za mpinzani wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa Gym Khana Dar es Salaam jana.
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ jinsi kupiga ngumi za tumbo huku akiwa ameingia ndani kwa mashambulizi zaidi wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa Gym Khana Dar es Salaam jana.
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.