Siku ya Maziwa Duniani-Nestle Tanzania yaonyesha upendo kwa watoto

waligawa zawadi kwa watoto mbalimbali

Meneja wa Sayansi na Uthibiti wa Nestle Tanzania Marsha Yambi (kati) akikabizi zawadi kwa watoto wanaolelewa na kituo cha Chakuwama Orphanage zawadi

mrezi wa kituo hicho Khadija mwanamboka

Mlezi wa kituo cha Kulea watoto yatima cha Tanzania Mitindo House na Mwanamitindo Maarufu Bi Khadija Mwanamboka akihojiwa na waandishi wa habari wakati akipokea zawadi kwa ajili ya kituo cha watoto yatima cha TMH ambapo Kampuni ya Nestle kupitia bidhaa ya NIDO imewawezesha vituo vitatu vya watuto yatima vya Dar es Salaam kusherehekea Siku ya Maziwa Dunia kwa kuwapa Maziwa ya NIDO na Bidhaa za MILO zenye thamani zaidi ya TSZ 5 Milioni.

mlezi pia alishukuru

Bibi Mlezi wa Kituo cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Bi. Khadija akifafanua jambo wa waandishi wa habari juu ya Changamoto anazozipata katika harakati za uendeshaji wa Vituo vya watoto yatima pamoja na Michango ya Taasisi mbalimbali kama Kampuni ya Nestle NIDO ilivyofanya kuwawezesha watoto kuwa na afya bora na kuhamasisha Unywaji wa Maziwa halisi ya Ng’ombe yaliokatika mifumo mbali mbali

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.