Mtaalam na mshauri aliye kwenye jopo la majadiliano kwa manufaa ya wote ( Smart Partnership) Prof. Lucian Msambichaka akiongea na wahariri wa vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam kuhusu umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa majadiliano kwa manufaa ya wote (Smart Partnership) kwa watanzania. Mkutano huo utafanyika nchini mwezi mei 2013.
Semina ya Wahariri kuhusu Ushiriki wa Vyombo vya Habari Mkutano wa Kimataifa wa Majadiliano kwa Wote
