Saba Saba ndani ya banda la Hyundai Posted on: July 6, 2011 - jomushi Hili ndiyo banda la kampuni ya Hyundai ndani ya viwanja vya Saba Saba katika maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.