Wageni waalikwa....Mr & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita kwenye dua hiyo maalum..Wageni waalikwa wakijadiliana mambo....Mzee Yusufu Makamba akifurahi na mmoja wa wajukuu zake ndani ya JumbaMaustadhi wakipiga Sala kabla ya kuanza dua ya kuiombea Nyumba na wakazi wake....Kutoka kulia, Bi. Mwamvita, Sophie, Jaki, na Adeline....Bi. Mange Kimambi akiendelea kupoz.....Mange Kimambi akiwa ndani Jumba!Jumba kwa nje tenaJumba la Bi. Mwamvita lionekanavyo kwa nje
3 thoughts on “Picha za matukio ya uzinduzi wa Nyumba ya Bi. Mwamvita Makamba, ambaye ni Mkurugenzi wa Biashara na Masuala ya Jamii, Vodacom.”
HONGERA SANA BI DADA MWAMVITA,TUNATAKA WANAWAKE KAMA WEWE WENYE AKILI NYINGI NA UMETUWEKA WANAWAKE WENZIO JUU NA KUONEKANA TUNAWEZA. BIIIIIG UP Mwaaaahh!
HONGERA SANA BI DADA MWAMVITA,TUNATAKA WANAWAKE KAMA WEWE WENYE AKILI NYINGI NA UMETUWEKA WANAWAKE WENZIO JUU NA KUONEKANA TUNAWEZA. BIIIIIG UP Mwaaaahh!
dah yan bonge la jumba congrats mwamvita….
hilo jumba liko sehemu gani?