DK. Shein aelekea Uingereza kikazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizindua Shuhuli za Zakka
Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar
jana,(kushoto) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad,na (kulia) Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa
Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja
na viongozi wengine akatika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari
hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein. [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.