Ngoma Africa Band wapagawisha Afro-Ruhr Festival, Ujerumani Posted on: July 2, 2012July 3, 2012 - jomushi Mzungu apanda jukwaani na kuanza kulisakata rumba baada ya kuvutwa na burudani la FFU Wasanii wa Ngoma Africa Band katika Gwaride ya kushambulia jukwaa Watoto wakijimwaga jukwaani baada ya kunogewa na rumba la FFU