Mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la ABC FOUNDATION, Kulwa akitoa neno kwa niaba ya ofisi hiyo, ambayo Marehemu Nyarugenda alikuwa MkurugenziMjane wa marehemu Nyarugenda akiwa na watoto wake kwenye msiba huoBaadhi ya waombolezaji wakiwa katika hafla hiyo ya kuuaga mwili wa marehemu Nyarugenda kabla ya kusafirishwa (Picha kwa hisani ya Binda News)