Tunapoenda kufanya kazi vijijini si vibaya kujumuika na kubadilishana taarifa na wenyeji wa pale, je wataka kujua hapa Mdau Mkuu wa Thehabar.com alikuwa kijiji gani, basi endelea kutembelea mtandao huu
Mdau wa dev.kisakuzi.com akiwa na wanakijiji kusaka taarifa
