Matembezi kupiga vita Saratani ya Maziwa Marekani

Kina dada wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ugonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June 2, 2012 ndani ya Washington DC nchini Marekani.
Kina dada wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ugonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June 2, 2012 ndani ya Washington DC nchini Marekani.
Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita maradhi ya Saratani ya maziwa. (Picha maelezo na swahilivilla.blogspot.com)
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.