HUU ni mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa, na hivi karibuni nimegundua mabadiliko makubwa ya kitabia kwa mume wangu. Alikuwa hana kawaida ya kunipitia kazini baada ya kazi, ila siku hizi anakuja kunipitia, na kila akifika kazini anaomba kumsalimia boss wangu kwanza.
Na boss wangu haishi kuniulizia “maendeleo” ya mume wangu. Hii ni kazi ambayo, nimeunganishiwa na mume wangu, na nahisi kwamba mahusiano yao ni zaidi ya urafiki. Ni mara mbili mume wangu amekubali kwamba alikwenda lunch na boss wangu, nahisi kuna kitu!
Naombeni ushauri jamani, kwani naogopa kumcomfront boss wangu, kwa kuhofia kufukuzwa kazi. Tafadhali thehabari, naomba msaada kupitia wadau, ili nisije nikachukua maamuzi yasiyo na busara.

MAPENZI SIO KAMA UNAVYOFIKIRIA SOME TIME MAANA HUENDA WANAMIPANGO YAKIMAISHA ZAIDI NDIO MAANA WANAJARIBU KUWA KARIBU BILA WEWE KUKUSHIRIKISHA NA HIO NI KUTOKANA NA LABDA UTENDAJI WAKO AU MAISHA UNAVYOISHI FIKIRI KABLA YA KUCHUKUA MAAMUZI NA HILI NI MOJA YA KOSA NA NDIO MAANA LABDA HAWAKUPENDA KUKU SHIRIKISHA
Your comment is awaiting moderation.