Mabondia Matumla na Ramadhani Kuzichapa Kugombea Bodaboda Posted on: December 24, 2013 - jomushi Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese Dar es Salaam katikati ni promota wa pambano hilo.