Katibu Mkuu CCM Taifa Aaza Ziara ya Siku Nane Morogoro

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro leo, Aprili 14, 2013.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro leo, Aprili 14, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki, kabla ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuondoka eneo la Nane Nane kwenda Morogoro mjini kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Aprili 14, 2013.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika leo Aprili 14, 2013 katika Kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kuwasili Ofisi Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro, leo Aprili 14, 2013. Kinana amewasili Morogoro kwa akili ya kukagua uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ukionzwa na waendesha pikipiki baada ya kuwasili mjini Morogoro leo Aprili 14, 2013, Kinana anaaza leo ziara ya kikazi mkoani humo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili eneo la Nane Nane mkoani Morogoro kuanza ziara ya siku nane ya kikazi mkoani humo, leo Aprili 14, 2013. (Picha zote na kitengo cha Habari CCM)

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.