
Rais Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa zamani aliyefariki jana asubuhi jijini Dar es Salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jioni hii

Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na Mbunge wa Loliondo, Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumary

