Yaani Mh. Komba angekuwa anafuatilia miswada Bungeni kwa umakini kama anavyofuatilia hapo…..Mbona tungekuwa mbali. Kuweka kumbukumbu sahihi, embu angalia picha ya chini jinsi Mheshimiwa huyu alivyouchapa usingizi.
HUYU NI YULE MH.KOMBA ANAYELALA BUNGENI?

Si unajaua alila kwa sababu alikesha na TOT PLUS wakati anawaburudisha wahesimiwa?
Analala si ameona ameshiba. hapo hawawazi tena walio mtuma(wanachi)yupo kwa ajili ya masilahi yake binafsi.Atawaambia nini wananchi, anasikia nini hapo, anatoa hoja gani? viongozi hawa kazi uchakachuaji tu.