Fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 Posted on: September 11, 2011 - jomushi Baadhi ya warembo wanaoshiriki fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 wakijivinjali jukwaani usiku wa jana kabla ya mshindi kupatikana.